top of page
![]() | ![]() | ![]() | ![]() |
|---|
Search


Tanzania Yaihakikishia Dunia Hali ya Utalii Iko Salama
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 26 wa Baraza Kuu la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kilichoanza Novemba 9, 2025, jijini Riyadh, Saudi Arabia, ameihakikishia dunia kuwa hali ya utalii na amani viko imara nchini Tanzania kufuatia machafuko yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi katika baadhi ya maeneo. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo wakati akichangia Taarifa ya Utekelezaji ya Mwaka ya Taasisi
Nov 102 min read


Bilioni 527 zatekeleza miradi 13 ya TANROADS Tabora
Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 527.751 kwa ajili ya kuhudumia jumla ya miradi 13 ya kitaifa kwa jumla ya kilomita 612.4, madaraja manne na mizani minne ya Kizengi miwili na Mizani ya Mkolye katika mkoa wa Tabora. Mkoa wa Tabora una mtandao wa Barabara wa kilometa 2188.09, katika mtandao huo, Barabara kuu ni kilometa 1077.12 na Bara
Oct 233 min read


Dkt. Abbasi, Mwakilishi Mkazi UNDP Wazindua Uboreshaji Misitu Nchini
Dar es salaam Serikali imezindua rasmi utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimataifa wa mazingira ujulikanao kama “Mbinu Chanya na Jumuishi za Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi na Kulinda Bayoanuai” (Integrated Net-Zero Nature-Positive Solutions for Climate and Biodiversity Protection), unaolenga kuendeleza sekta ya misitu kwa lengo la kuinua maisha ya watu. Akizungumza leo Oktoba 23,2025 jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha kwanza cha Kamati ya Usimamizi wa M
Oct 231 min read
bottom of page



